Kurugenzi ya Sheria

Kurugenzi ya Sheria

KurugenziyaSherianaHakizaBinadamuimeanzishwanaKamatiKuuya Chama kwamujibuwaibaraya 7.7.4 yaKatibaya Chama yamwaka 2006 toleo la mwaka 2016.KurugenziyaSheriaya Chama inaongozwanaMkurugenzi,WakiliwaMahakamaKuuMheshimiwaPeter Kibatala.

Kurugenzihiiinaundwanaidarazifuatazo;

  • IdarayaKatibanaHakizaBinadamu (Constitutional and Human Rights Department).
  • IdarayaMashauri (Litigation Department).

MajukumuyaKurugenzinikamaifuatavyo;

  • Kutoaushauriwakisheriakwa Chama katikamasualayakisheria.
  • KutoauwakilishiwakisheriaMahakamanikwa Chama, ViongozinaWanachamawanapokabiliananakesimbalimbaliwakatiwakitekelezamajukumuyakichama.
  • Kutoaushaurikwa Chama kuhusumasualayasherianahakizabinadamu
  • Kufanyamajukumumenginekadiriitakavyoamuliwa
Share Button
Layout Settings