Kurugenzi ya Oganizesheni, Mikakati na Uchaguzi

Wasifu Kurugenzi ya Oganizesheni, Mikakati na Uchaguzi

Kurugenzi ya Oganizesheni, Mikakati na Uchaguzi imeundwa kama sehemu ya Sekretariat ya Kamati Kuu ya chama ikiwa na majukumu yafuatayo

  1. Kujenga Oganizesheni imara ya chama kuanzia ngazi ya misingi na kuhakikisha oganizesheni ya chama ngazi zote inafanya kazi na kutekeleza wajibu wake.
  2. Kuratibu uundaji wa mpango mkakati wa Chama na mikakati mbalimbali ya kutekeleza mpango mkakati wa chama.
  3. Kuandaa na kuratibu Uchaguzi Mkuu ndani ya chama na chaguzi mbalimbali ndani ya chama.
  4. Kuandaa Chama kwaajili ya kushiriki na kushinda uchaguzi Mkuu, Chaguzi za Serikali za mitaa na chaguzi za marudio.

Utekelezaji wa majukumu ya Kurugenzi hii, unaratibiwa na ngazi mbalimbali kuanzia ngazi ya taifa kwenda kwenye Kanda na ngazi nyingine za chini.

Share Button
Layout Settings