TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI JUU YA HOJA YA KUMWONDOA MADARAKANI NAIBU SPIKA WA BUNGE, MHE. DKT. TULIA ACKSON MWANSASU (Mb) Ndugu wanahabari, tumewaita hapa kuwaomba muwape taarifa Watanzania kuwa kwa niaba ya wabunge wenzangu nakwa mujibu wa kanuni ya ...
Soma zaidiCategory Archives: Matamko
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI: CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) MAAZIMIO YA KIKAO CHA KAMATI KUU YA TAREHE 23-26 JULAI,2016 PRESS CONFERENCE YA TAREHE 27 JULAI, 2016 1.0 UTANGULIZI Kamati Kuu ya dharura ya Chama iliketi kuanzia tarehe 23-26 ...
Soma zaidiTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI: CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) MAONI NA MAPENDEKEZO KUHUSU SHERIA MPYA YA VYAMA VYA SIASA 1.0 UTANGULIZI Kwa kuwa, Ibara ya 20 ya Mkataba unaonzisha Umoja wa Mataifa unatoa haki ya kujumuika na inazuia ...
Soma zaidiTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI SERIKALI YETU NA UVUNJWAJI WA KATIBA YA NCHI Ndugu wana Habari, napenda kutoa shukrani na pongezi zangu za dhati kwa kazi kubwa mnayoifanya ya kuhabarisha umma. Pia niwatakie ushindi watoto wetu wote wanaofanya mtihani wa ...
Soma zaidiCHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) TAARIFA FUPI KWA WABUNGE KUHUSU HALI YA TAIFA KWA KIPINDI CHA JULAI HADI OCTOBA 2016. UTANGULIZI. Tathimini hii imefanyika katika kipindi ambacho serikali ya awamu ya tano imeanza utekelezaji wa bajeti yake ya kwanza ...
Soma zaidiGHARAMA ZA MATENDO YA RAIS MAGUFULI ZIMEANZA KUFICHUKA: BOMBARDIER IMEKAMATWA CANADA!!!
UTANGULIZI Leo ni takriban mwaka mmoja na robo tatu tangu John Pombe Magufuli ale kiapo cha kuwa Rais wa Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mengi yametokea katika kipindi hiki cha karibu miaka miwili. Rais Magufuli amepiga marufuku shughuli ...
Soma zaidiThe proposed bill limits the functions and scope of political parties. At the same time, the Constitution of the United Republic of Tanzania, 1977 stipulates in its preamble that: “We, the people of the United Republic of Tanzania, have firmly ...
Soma zaidiMSIMAMO WA VYAMA VYA CUF, NCCR -MAGEUZI,CHAUMMA NA CHADEMA- KUHUSU KUSHIRIKI UCHAGUZI MDOGO WA MARUDIO WA TAR 13-01-2018 .
UTANGULIZI Serikali ya awamu ya tano imeonyesha wazi kuwa haiko tayari kufuata Katiba na Sheria za nchi katika utendaji wake wa kazi na imejipambanua wazi kuwa haiheshimu Demokrasia na Haki za Binadamu zimeendelea kuvunjwa na hakuna hatua zozote zinazoonekana kuchukuliwa ...
Soma zaidiBaada ya upigaji kura katika uchaguzi wa marudio uliofanyika Februari 17, 2018 kumalizika huku ukigubikwa na vitendo viovu vya kihalifu dhidi ya demokrasia na uchaguzi wenyewe, mathalani …
Soma zaidiTafuta
Zilizozomwa zaidi
-
-
IDU YAITAKA TANZANIA KURUDISHA HARAKA MCHAKATO WA KATIBA MPYA
by Remsi Kassanda July 19, 2023 8:18 am -
TAARIFA KWA UMMA
by Chadema Digital July 3, 2022 2:44 pm