Category Archives: Habari

02 Sep
0

Mhe. Tundu Lissu Azindua Kampeni Kanda ya Serengeti (Shinyanga, Mara na Simiyu)

Picha mbalimbali zikionesha Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chadema, Mhe. Tundu Lissu, kwa Kanda ya Serengeti (Shinyanga, Mara na Simiyu) uliofanyika leo Septemba 2, 2020, katika Uwanja wa ...

Soma zaidi
02 Sep
0

Mh. Lissu Kahama na Shinyanga Leo

Picha zikionesha msafara wa Mgombea Urais wa JMT kwa Tiketi ya Chadema, Mhe. Tundu Lissu tangu alipotua Uwanja wa Ndege wa Kahama leo asubuhi. Kisha kuanza safari ya kuelekea Shinyanga mjini ambapo alilazimika kusimama mara kadhaa sehemu mbalimbali kuwasalimia mamia ...

Soma zaidi
01 Sep
0

Mapokezi ya Mh Lissu jijini Mwanza

Picha za matukio mbalimbali zikionesha mapokezi makubwa ya Mgombea Urais wa JMT kwa tiketi ya CHADEMA, Mhe. Tundu Lissu akiingia Jiji la Mwanza kutokea Uwanja wa Ndege wa Kimafaifa wa Mwanza kuelekea Uwanja wa Furahisha, leo Septemba 1, 2020.

Soma zaidi
31 Aug
0

Mhe. Tundu Lissu katika kampeni Kanda ya Kaskazini,

Picha za uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mhe. Tundu Lissu, kwa Kanda ya Kaskazini, uliofanyika leo Jumatatu, Agosti 31, 2020, katika Uwanja wa Relini, ...

Soma zaidi
29 Aug
1

Mh Lissu akipita maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam leo kuelekea Mkutanoni.

Picha zikionesha msafara wa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa tiketi ya Chadema, Mhe. Tundu Antiphas Lissu, alipokuwa akipita maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam kutokea nyumbani kwake Tegeta kuelekea Uwanja wa Tanganyika Parkers kwenye ...

Soma zaidi
28 Aug
1

Chadema yazindua Kampeni Uwanja wa Zakhiem, Mbagala, jijini Dar es Salaam

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Tundu Antiphas Lissu akihutubia mkutano wa uzinduzi wa kampeni Ijumaa, Agosti 28, 2020, katika Uwanja wa Zakhiem, Mbagala, jijini Dar es Salaam. . #Mbagala #NiYeye2020 #TunduLissu2020

Soma zaidi
20 Aug
0

Mhe Lissu na Mgombea Mwenza Mh Mwalim wakiwa Njombe

Mhe Lissu na Mgombea Mwenza Mh Mwalim wakiwa Njombe

Soma zaidi
18 Aug
0

Mhe. Tundu Lissu akizungumza na wananchi wa Iringa mjini

Mgombea Rais wa Chadema, Mhe. Tundu Lissu akizungumza na wananchi wa Iringa mjini, waliojitokeza kumdhamini kwa kuweka saini zao kwenye fomu zake, leo Jumanne, Agosti 18, 2020.

Soma zaidi
18 Aug
0

Mapokezi ya Mhe Lissu Arusha

Mapokezi ya Mhe Lissu Arusha

Soma zaidi
12 Aug
0

Mhe Lissu na Mhe Mwalim awakizungumza na Wananchi wa Tarime/Bunda /Mara/Musoma

Mgombea Urais wa Chadema Mhe. Tundu Lissu akiwa ameambatana na Mgombea mwenza Mhe. Salum Mwalim wakizungumza na Wananchi wa Wilaya Ya Tarime waliofika kwa ajili ya kumdhamini. #SasaBasi #PeoplesPower #NoHateNoFear  

Soma zaidi
12369
Layout Settings