Category Archives: KUB

01 Apr
0

Waraka Maalum wa Mh. Freeman Aikaeli Mbowe

Leo tarehe 22 Machi 2018, mimi na viongozi wenzangu waandamizi wa Chadema tumetakiwa tena kuripoti Polisi. Tunaokabiliwa na usumbufu huu ni pamoja na: Mhe Vincent Mashinji (Katibu Mkuu), Mhe. John John Mnyika, Mb na Naibu Katibu Mkuu Bara, Mhe. Salum Mwalimu, Naibu Katibu ...

Soma zaidi
01 Mar
0

Hotuba za Wasemaji Wakuu Bungeni – Bajeti 2017-18

HOTUBA ZA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI WAKIWASILISHA BUNGENI MAONI YA KAMBI RASMI YA UPINZANI   KUHUSU HALI YA UCHUMI WA TAIFA, MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA NA MAKADIRIO YA MAPATO NA  MATUMIZI YA SERIKALI KWA MWAKA WA ...

Soma zaidi
01 Mar
0

MAONI YA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI KUHUSU BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA WA FEDHA 2017/2018

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI HOTUBA YA KIONGOZI WA UPINZANI BUNGENI (KUB), MHESHIMIWA FREEMAN AIKAELI MBOWE (MB), AKIWASILISHA BUNGENI MAONI YA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI KUHUSU BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA WA FEDHA 2017/2018. Inatolewa chini ya Kanuni ya ...

Soma zaidi
01 Mar
0

MAAZIMIO YA KIKAO CHA KAMATI KUU YA TAREHE 23-26 JULAI,2016

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI: CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) MAAZIMIO YA KIKAO CHA KAMATI KUU YA TAREHE 23-26 JULAI,2016 PRESS CONFERENCE YA TAREHE 27 JULAI,  2016 1.0 UTANGULIZI Kamati Kuu ya dharura ya Chama iliketi kuanzia tarehe 23-26 ...

Soma zaidi
01 Mar
0

MAONI NA MAPENDEKEZO KUHUSU SHERIA MPYA YA VYAMA VYA SIASA

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI: CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) MAONI NA MAPENDEKEZO KUHUSU SHERIA MPYA YA VYAMA VYA SIASA 1.0 UTANGULIZI Kwa kuwa, Ibara ya 20 ya Mkataba unaonzisha Umoja wa Mataifa unatoa haki ya kujumuika na inazuia ...

Soma zaidi
01 Mar
0

TAARIFA FUPI KWA WABUNGE KUHUSU HALI YA TAIFA KWA KIPINDI CHA JULAI HADI OCTOBA 2016.

CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) TAARIFA FUPI KWA WABUNGE KUHUSU HALI YA TAIFA KWA  KIPINDI CHA JULAI HADI OCTOBA 2016. UTANGULIZI. Tathimini hii imefanyika katika kipindi ambacho serikali ya awamu ya tano imeanza utekelezaji wa bajeti yake ya kwanza ...

Soma zaidi
01 Mar
0

TAMKO: ANALYSIS AND RECOMMENDATIONS ON THE PROPOSED POLITICAL PARTIES BILL, 2017 . OCTOBER, 2017

The proposed bill limits the functions and scope of political parties. At the same time, the Constitution of the United Republic of Tanzania, 1977 stipulates in its preamble that: “We, the people of the United Republic of Tanzania, have firmly ...

Soma zaidi
01 Jan
0

Hotuba za Wasemaji Wakuu Bungeni – Bajeti 2016-17

HOTUBA ZA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI WAKIWASILISHA BUNGENI MAONI YA KAMBI RASMI YA UPINZANI   KUHUSU HALI YA UCHUMI WA TAIFA, MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA NA MAKADIRIO YA MAPATO NA  MATUMIZI YA SERIKALI KWA MWAKA WA ...

Soma zaidi
12
Layout Settings