Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chadema, Mhe. Tundu Lissu pamoja na Mgombea Mwenza, Mhe. Salum Juma Mwalim, wakiwa Jimbo la Singida Kaskazini, leo Jumatatu, Agosti 10, 2020.

Naibu Katibu Mkuu wa Chama Zanzibar, ambaye pia ni Mgombea Mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akisisitiza jambo kwa Wajumbe wa Kikao cha Mkutano Mkuu wa Jimbo la Singida Mashariki leo Jumatatu, Agosti 10, 2020. Kushoto kwake ni Makamu Mwenyekiti wa Chama Taifa (Bara), Mhe. Tundu Lissu ambaye ni Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chadema, Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2020. Mgombea Urais na Mgombea Mwenza wako kwenye ziara ya kutafuta wadhamini 200 kutoka mikoa 10 ya Tanzania.

.
.

.

Share Button