MAONI YA KAMBI RASMI YA UPINZANI KATIKA AZIMIO LA KURIDHIA MKATABA WA  KIMATAIFA WA VWANGO VYA MAFUNZO NA UTOAJI VYETI KWA WAFANYAKAZI WA VYOMBO VYA UVUVI WA MWAKA 1995 (INTERNATIONAL CONVENTION ON STANDARDS OF TRAINING, CERTIFICATION AND WATCHKEEPING FOR FISHING VESSEL PERSONNEL, 1995 (STCW-F95) )

 “Yanatolewa kwa Mujibu wa Kanuni ya 53(6)(c)  ya Kanuni ya Bunge, toleo la mwaka 2016)”

Fisheries Education and Training Agency (FETA) is established by merging two fisheries institution, Mbegani Fisheries Development Centre (MFDC) and Nyegezi Freshwater Fisheries Institute (NFFI) in line with fisheries master plan (URT). The two institutions are under the Ministry of Livestock Development and Fisheries and are fully accredited by the National Technical Education (NACTE).

To provide education and training in fisheries science and technologies, aquaculture, fisheries management and allied fields;

To provide consultancy and extension services in fisheries, Aquaculture, fishing vessels safety and allied technologies;

To conduct applied research on fisheries, aquaculture and allied technologies;

To provide fish, Aqua seed and feed;

To promote fish trade and aqua business;

To disseminate innovations in fisheries, aquaculture and allied fields;

To produce fishing boats, fishing gears and aquaculture facilities; and

Ensure efficient and effective management of the Agency.

Alisema endapo wavuvi hao watazingatia taratibu na sheria za uvuvi, sekta hii itaweza kuongeza pato la taifa kwa asilimia kubwa ukilinganisha na sasa ambapo huongeza asilimia 2, huku asilimia 10 huingiza pesa za kigeni.

“Bado tunachangamoto kubwa katika sekta ya uvuvi ambapo wavuvi wengi wanataumia dhana hatarishi katika kujipatia samaki, na wengine huvua samaki ambao hawajafikia kiwango cha kuvuliwa, uvuvi wa namna hii utafanya maziwa yetu yapungukiwe na samaki kwa asilimia kubwa, hivyo nawomba wavuvi wote kuzingatia sheria za uvuvi zilizowekwa na serikali”alisema Liganga.

Aidha, Liganga alisema kutokana na hali halisi ilivyo nchini, serikali na asasi zisizo za kiserikali hazijawa na ajira za kutosha kuweza kuajiri watu wengi wanaohitimu vyuo, hivyo jambo la kujiajiri kwa kufuta taratibu za ufugaji wa samaki kwa kuchimba mabwawa ukizingatiwa kwa ufanisi utaweza kuwapatia ajira zao binafsi.

Share Button